Halloween party ideas 2015


video Queen anae kuja kwa kasi Gigy money ameendelea kupost picha za hatari zikimuomyesha maungo ya mwili wake wazi.Bongohotz ilitaka kujua ni kwanini ameamua kufanya ivyo ila jibu lake ni kuwa.

bongohotz: Gigy kwa sasa wewe ni mtu maarufu tayari....kwanini uliamua kufanya kitendo cha kutuma picha zile..? 
Gigy money:'kila mtu ana maisha yake ivyo nimeamua kuishi ivyo ndo maisha niliyo ya chagua mwenyewe 

bongohotz: Lakini picha zile haziendani na mila na desturi za ki afrika..?
Gigy Money:''kila mtu angalie maisha yake sasa maana anaona bongokamambele tu akimaanisha anaona Tanzanian kama ulaya,, alimalizia Gigy

Endelea kua nasi karibu kwa install our website app on Google play store @bongohotz



Powered by Blogger.